Huyu demu hafai kabisa

huhuhuhuuuu anachocheo harafu asipopewa itakuaje

kwa mix za pombe kali hivyo lazima atapoteza network huyo kisha unajivutia kiulainiiii, kwapani umebana konyagi kichupa size ya kati kile kwa ajili ya kureload kila baada ya round ya mbili 😎
 

Wewe mwenyewe ndio umejitakia halafu unalalamika
 
Mimi shida yangu kwanini ajiweke level ambayo si yake??? Yeye akiwa mwenyewe anagonga Kili ya moto halafu akipata bwerere ndo anafanya hivyo, si tabia mzuri kabisa yani na ndo maana mademu kama hao huwa hawaolewagi kabisa ndugu zangu

Na wewe hujui bei ya vinywaji? Kwa nini hukuzuia kabla havijaletwa?
 
huyo lazima atakua Charming Lady, kama sio Demba au smile sijuiiii!!
 
Maskini tunamatatizo sana,mechi tunaziomba wenyewe then tunaanza lalamika.Lound ya kwanza,yapili,ya3 unatoa huku roho inakuuma?yakupa uwe na maamuzi kulingana na wakati.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…