Huyu dem kanishinda

Domo zege wewe. Hata hausegirl unashindwa kuwapata mi nikupe namba??
Kijana jiongeze acha ushamba by the way nakuomba unisaidie mawasiliano ya binti nakuona uwezi game wewe bado unakua katafute mtoto mwenzio mfundishane huko
 
hahahaha mkuu unatuaibisha wanaume, kasome makala za KAMASUTRA, au google hilo neno ili uanze kujifunza vyema kufanya maandalizi, pia utapata mafunzo mbali mbali ya kutumia vidole na utaona matunda yake. Acha kulalamika na jitahidi kutafuta mbinu za kivita kumshinda adui
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mzee baba kamasutra nliangaliaga 2002 nikiwa 4m6 hakuna jipya hapo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mzee baba kamasutra nliangaliaga 2002 nikiwa 4m6 hakuna jipya hapo
kunakuangalia na kusoma, wanavitabu pia usikomee kuangalia. enzi za form six ulikua na mambo mengi ya kishule jitahidi usome na uelewe kwasasa ambapo huna vya ziada vya kusoma kwa kusubili mtihani.
Kama ulianza 2002 na hukuona jipya basi nikuambie tu kua bado kichwa chako hakijawa tayari kujifunza.
 
Subir nicheke kwanza
Hahahahahaha
Pili kijana una umri gani?
Tatu ushaachana nae unamzungumzia wa nini kama sio upashukuna mtoto wa kiume
 
Kuna new edition?? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Naona umeanza.mipasho[emoji34][emoji34]
Subir nicheke kwanza
Hahahahahaha
Pili kijana una umri gani?
Tatu ushaachana nae unamzungumzia wa nini kama sio upashukuna mtoto wa kiume
 
Umepata wapi ujasiri wa kupost picha yenye mfuko uliozuiliwa Kibisaaaaa na serkali? Hii jeuri imetoka wapi? Au ndio mnaoendesha nchi,? NEMC waitazame picha hii aisee
 
Jamaa post ya zamani wakati inaruhusiwa

[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Umepata wapi ujasiri wa kupost picha yenye mfuko uliozuiliwa Kibisaaaaa na serkali? Hii jeuri imetoka wapi? Au ndio mnaoendesha nchi,? NEMC waitazame picha hii aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…