Huyu Daktari aliyekuwa anamtibu Inspector Swilla, chooni Mahakamani, alikuwa na kibali Cha Mahakama?

Kwa jinsi hii kesi inavyoenda mpaka kuisha basi choo cha mahakaman kitakuwa kimejaa kupitia mashahidi wa serikali
 
Hukumuelewa vizuri yule mwanasheria wa mchongo wa serikali,alikuwa anamaanisha kwamba jamaa alikuwa anakwenda sana chooni kwa sababu ni mgonjwa.
Na kwamba kwa ugonjwa wake huo uliosababisha awe anakwenda sana toilet alikuwa anatibiwa tmj
Jana walivyohairisha kesi wakina kibatala walitaka leo waletewe cheti cha kuonyesha ametibiwa hospitali ya serikali sasa leo jamaa kaleta cheti cha kutibiwa kutoka tmj kwamba asingeweza kwenda kutibiwa hospitali nyingine ya serikali kwani tayari alikuwa anatibiwa na daktari wake wa tmj huo ugonjwa ambao ulisababisha awe anakwendakwenda sana chooni siku alipokuwa anabananishwa na kibatala
Ila mwisho naona hii ni kesi ambayo serikali imeitengeneza na hata ushahidi wao unamashaka sana na ukakasi mwingi sana.
Nitashangaa sana kama baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi jaji atasema washtakiwa wana kesi ya kujibu
Kwa mtazamo wangu hadi sasa serikali imeshindwa kuthibitisha pasipo shaka mashtaka yao
 
Umekosea Nukuu.
Hospitali Binafsi Ndo alikuwa anatibiwa nadaktari wake.


Huyo Jamaa Swila alipaswa apewe Anti-diuretics Ili aache kwenda kwenda Chooni. Ana tatizo lililosababishwa na hofu. Ndo maana anakojoa kojoa Hovyo.
Hebu tumegee kidogo hilo tatizo linalomsababishia hofu na kufanya akojoe kojoe hovyo! Huyo aina ya Nyoka awe mkweli, na ukweli utamuweka huru na ataondokana na hiyo hofu.
 
Uwe unasoma conversation vizuri, w/s alifafanua kuwa huwa anatibiwa TMJ na kuwa hata anavyotoka mara kwa mara kwenda washrooms kuna daktari yupo huko chooni akimsubiri kwa kumpatia matibabu
wewe ndio umetafsiri vibaya. Alikuwa akifafanua kuhusu matibabu yake kwamba yanafanyika huko TMJ na kwamba hii hali tunayoiona ya kwenda chooni mara kwa mara matibabu yake yanafanyika TMJ.

Tafsiri ya hapa inabidi uzingatie mazingira. Kwa vile kilichokuwa kinazungumzwa kinaeleweka kwa waliokuwepo, hawana maswali kama haya ya kwetu ambao tumesoma kwenye maandishi.

 
"Kupata Tina kutoka kwa Daktari wake ni nusu ya tiba"

Unayaachaje hayo maneno huko hospital anapata nusu tiba au chooni, mbona rahisi tuu

Nusu Tiba inatolewa TMJ?
 
Huo ugonjwa umeanza wakati wa kubananishwa maswali na mawakili wa upande wa utetezi? Mbona kipindi akiongozwa na wakili wa serikali alikuwa anatililika vizuri na hakuwahi kuomba kwenda choon?
 
W/S alikuwa akifahamisha sehemu anakotibiwa shahidi Swila na si chooni.
 
Mleta mada hizo sentensi imezungumzwa kimakosa na mwanasheria, kakosea mahali pa kuitaja...

Lakini kiuhalisia alikuwa anafaglfanua kuwa wameshindwa leta cheti cha serikali, kwa sababu shahidi amekuwa akitibiwa hospitali binafsi ambayo hapo katika hiyo sentensi ndio inatajwa kama "Huko"
 
Uwe unasoma conversation vizuri, w/s alifafanua kuwa huwa anatibiwa TMJ na kuwa hata anavyotoka mara kwa mara kwenda washrooms kuna daktari yupo huko chooni akimsubiri kwa kumpatia matibabu
Ila anateseka sana awe mkweli awe huru imeandikwa
 
Huo ugonjwa umeanza wakati wa kubananishwa maswali na mawakili wa upande wa utetezi? Mbona kipindi akiongozwa na wakili wa serikali alikuwa anatililika vizuri na hakuwahi kuomba kwenda choon?
Swali zuri sana wakijibu unitag mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…