huyu dada wa kimasai kaficha nini hapo?

na ndio mana mswati kila mwaka anaongeza mmoja,naona karibia ataanza kuchukua double double!

Mkuu hiyo ni maadili ya utawala wa kichief kwa Muswati kila mwaka lazima atafute mke mwengine, tena kijana zaidi ya wake zake aliokuwa nao.
 
ya kwa muswati huwa haizibi kitu,hiyo ni bongo imefaa kama ya muswati,na si masai.
 
Hivi tuna ubalozi wa kwa Mswati hapa Tz..maana jamaa kama ni hivi atakuwa noma..
 
kitumbua down town kitakuwa kimeumuka ipasavyo lolzx!!
 
hiyo si nusu uchi bali robo tatu uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…