Ni kweli mkuu imetokea leo; mbaya zaidi yeye hakuniomba namba na mimi sikumuomba namba; na sijazungumza naye zaidi ya kuitikia salamu yake na kulipa bili basi.
Sina hakika, ni mkoa mgeni; pia hatukuzungumza naye zaidi ya kuitikia salamu yake, na kumtimizia anacho hitaji; najiuliza je ningekataa kumnunulia, ingekuwaje?