PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Jirani kwema?Hata ww hujielewi pia,.pole sana!!!
Kivipi?Hata ww hujielewi pia,.pole sana!!!
Jiraniiiiiiiiiiiiii nimekumissssss jamaniiiJirani kwema?
Tulikuwa wapenzi tu, na mimi Nilishakata mazima toka tuzinguane. Yupo mwingine nimetulia naye chiefAnamaanisha visima vya kale havifukiwi. Uwe unarudi kupiga siku moja moja watalaka hawaachani, Hapo huelewi nini?
Nimekumiss sana tu. Umeadimika kweli jiraniJiraniiiiiiiiiiiiii nimekumissssss jamaniii
Kwema kabisaa jirani wangu handsome
Hahaha acha tuu jirani tangu nihame kigogo umenisusa kweli hata "hunidip" lohNimekumiss sana tu. Umeadimika kweli jirani
Nitaanzia wapi kukususa jirani yangu!Hahaha acha tuu jirani tangu nihame kigogo umenisusa kweli hata "hunidip" loh
we wasiliana naye tu hakuna namna,alikoenda amesoma ramani anaona vumbi tu na vichaka.Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.
Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Mpenzi Shem [emoji29][emoji29][emoji29]Hata ww hujielewi pia,.pole sana!!!
MmhhNitaanzia wapi kukususa jirani yangu!
Huko alipokuwa kaona napo hakuna kitu bora kwako!!Tulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.
Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??
Jamaniiiiiii😭😭😭Mpenzi Shem [emoji29][emoji29][emoji29]
Kama mlishaachana na hauna interest nae ya nini kujiumiza kichwa kumfikiria? PotezeaTulimwagana na huyu manzi, ila hivi karibuni analalamika siwasiliani naye. Kikubwa zaidi alitaka tuachane, nami nikashika hamsini zangu.
Sasa analalamika siwasiliani na yeye, simuelewi??