Huyu dada noma...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu,
Habari za mchana. Basi leo asubuhi niko zangu kituoni nasubiri daladala mida kama ya saa nne hivi huku kwetu maeneo ya Goba. Jua lilikua linachoma kweli kweli halafu nikichek kituoni niko mwenyewe tu nikaona sio kesi acha nianze kupiga Hamza Kanoon mdogo mdogo. huku na sweat sana hata sihafika mbali ikasimama Verossa nyeupe mbele yangu, kuchek ndani wala sikuamini. aisee alikua ni mdada mmoja matata sana zaidi hata ya Flavy. Ni mweupe hivi, ana anashape kama yule manzi wa kwenye shooting ya weusi ya Nje ya 18. akanifungulia front door nikazama ndani, aisee humo ndani utazani kamwaga ndoo ya Issey Miyake jinsi ndinga inavyosmell good videadly.

Tena nakumbuka plate # yake ni T.....CHU. jaribu kuu lilikua ni vazi alillovaa (skate). ebana ilikua ni vupi kiasi kwamba ukipiga angle of depression kwa mbali unaweza kuona angalau muundo wa nchi ya ahadi. tukawa tunapiga story fresh kiaina, mi i was heading to Massana Hospital pale kuchoma sindano ya TT. kufika massana pale nkaomba anishushe, la haaula la kwata...... Si akaanza kukomaa nitoe mchango wa wese? nikamwambia sistee inamaana hii haikua lift?

Mbona hukusema sasa kama mwishoni kuna mambo ya kuchajiana mipunga? wapi. mtt akakomaa aisee. daah ikabidi nitoe buku kiunyonge wakati nilishapanga nikitoka hospitali nikanywe Burudani wine. Aisee if yo on Jf, we dada ni nyoko. me i salute you ila no war, mi nimekukubali ulivonikazia. with that being said, mchana mwema wakuu...
 
jamaa yangu, wese wajua lilivyo eh! bibi dada lazima akomae! hasa alivyokuona mshkaji ulivyo....
daah kweli mkuu, itabidi nianze kusave kwenye kibubu ili siku moja nami ninunue motokaa
 
Mkuu hii story ilivyoanza nilijua umeibua kumbe yamekukuta pole kamanda wangu
 

Hahaha pole sana we utakuwa jirani yangu nakuja kwako leo unikaribishe
 
Ulichelewa kulala? Amka basi kumekucha mwanga mwingi sana nje. Acha kuota. Hizi dezo zinakuja na maambukizi. We haya tu.
 
faida moja wapo ya Jf nikuelimika, inaitwa NUMBER PLATE, sio plate number.... tunafundishana mkuu
 
Ile ya Prof. Jay aliita Zali la Mentali sasa hii ya kwako sijui tuiiteje? Zali la ______________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…