</p>assalaam aleykum wana jukwaa faida(jf). Ndugu zangu! jana nilienda bank kuweka vijisenti kidogo, kwenye foleni alinitangulia dada mmoja. Mi nikajua mteja wa bank kama kawaida. Alipofika dirishani nikaona katoa simu kampa bank teller ambaye ni wa kiume nikasikia anamwambia andika namba yako afu baadae tutaongee naona sasa hivi uko bize. Yule jamaa kaandika namba then akarudisha simu kwa mdada kisha yule dada akaondoka zake. Yule jamaa kuziua ikabidi atoke dirishani akarudi baada ya dakiki kadhaa. Huku nyuma tuliokuwa kwenye foleni watu gumzoooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hivi tu unaweza kupanga follen kisa upate namba ya simu tena foleni yenyewe ni ya NMB????. Ikabidi nianze kumfuatilia yule jamaaa kumbe naye ni dungadunga wa hatari. Kilichonifurahisha ni jinsi folleni ilivokuwa ndefu kumbe mtu anatafuta namba ya simu. Kupenda kubaya.
GraciaLakini kwa nini sote tunafikiria kuwa what is going on between them is love it it could be another business, huwezi jua haya ni maisha bwana na nafasi uliyoipata leo usitegemee kua itarudi tena siku nyengine,asi que hay que aprovechar,
buena suerte a todos.
</p>Raha kumjua mtu pale..ukifika unaenda tu huna haja ya kusubiri!Labda ndo anatengeneza mazingira hayo!
Sidhani kama ni kupenda hapo, hapo ni maslahi ama ya kuuza mwili au ujambazi, si mnajua siku hizi usawa hata girls ni majambazi.
Msichukulie simple, je kama ambaye angeenda kuchukua hiyo namba ya simu angekuwa mwanaume watu hapo benki wangehisi/wangepata picha gani!?
kidogo jamani naomba mnipe maana ya dunga dunga kwani hapo mie solemba