huyu dada anataka mtu

huyu dada anataka mtu

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.
 
Picha mkuu, japo ka passport itakua vema, nami nikaprint nikamuulize maoni rafiki yangu wa kike kama rafiki yako wa kike ni wife material.
 
Last edited by a moderator:
Sasa si umwoe ww mwenyew ! Mbona ww huna mke unasubir nn mkuu....... Opoa zigo hlo
 
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.
Ni wewe nini huyo mtu :becky::becky:
 
NAKUSHAURI TU:
Kama unajihisi mpweke na unaogopa kulala pekeyako basi lala na njaa..!!!!G9T
 
Avatar tunajiwekea tu!!!
Mimi m/me Wewe jinsia gani?

kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.
 
...kwa mwendo huu baada ya miaka miwili jf sijui itakuwaje...
 
kwanza kabisa heshima kwenu,kuna kazi nimepewa ya kuweka hili ombi la rafiki yangu wa kike mmoja anaetaka mchumba..yeye kigezo chake ni uaminifu tu..tiririka pm ulipo na kama una cha kuniambia ili nijue nitamfowadia namba za mtu mmoja tu na alete feedback.

So wewe ni dalali, middleman, au kuwadi? Kwa nini asijitokeze mwenyewe?
 
This is not normal!
Kama vipi angejipigia mbunye ya bure hiyo!
Hainingii akilini! Huyu jamaa kama si.. Atakua anampigia promo ndugu yake! Afu inavyoelea halipi wala nini!!!!!
 
sasa kelele za nini wakuu we ni pm ujihakikishie taarabu zote mipasho ya nini,nimeeleza mimi nimeagizwa tu na kama hutaki tulia ulale mtu wangu si lazima wakuu,mimi nimeahidiwa donge nono wakuu kwaiyo utani uwekwe chemba kidogo alaaaah.
 
usifikiri kila mtu anapigapiga ovyo man na kama halipi sijakulazimisha kumtaka ase kwaiyo funga tantalila lako mkuu,nadhani umenipata vizuri.
 
sasa kelele za nini wakuu we ni pm ujihakikishie taarabu zote mipasho ya nini,nimeeleza mimi nimeagizwa tu na kama hutaki tulia ulale mtu wangu si lazima wakuu,mimi nimeahidiwa donge nono wakuu kwaiyo utani uwekwe chemba kidogo alaaaah.
mwana jf gani mdananda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom