Huyu dada anaigiza ???

Kuna mwingine kule songea anavaaga hivyo huku akiwa kwenye foleni ya KITIMOTO, nimewahi kufuatilia history yake nikaambiwa ni mkristu pure lakini anaficha kovu kubwa la moto alioungua kuanzia kisogoni mpaka mashavuni.
Kuna mdada anafanya kazi shirika moja nyeti sana nchi hii lililo na ofisi zake Mikocheni, anavaa kama huyo kumbe anaficha mvi kichwa kizima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…