Huyu dada anaigiza ???

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950
Semeni wenyewe ....Mie nilidhani wa sala tano .

 

Attachments

  • IJAB.jpg
    43.6 KB · Views: 1,566
Hizi ndo staili za mjini. Huyo atakuwa mke wa mtu, kavaa hivyo ili kujificha. Hapo anamsubiria jamaa yake. Tunaziona sana hizi mjini
 
Mwenye mke huyo ameokota embe kwenye mparachichi, huyo ni mwanamke wakichina(fake)
 
1. Kuvaa hivyo si lazima uwe muislam.
2. Hakuna ushahidi kwamba huyu ni mke wa mtu.
3. Hata kama ni mke wa mtu hatujui pengine anamsubiri mumewe.
4. Hata kama ni mke wa mtu na hamsubiri mumewe hatujui kwamba anamsubiri mtu
5. Hata kama ni mke wa mtu na anamsubiri mtu hatujui kama anamsubiri mtu kwa uasherati.
6. Hata kama anamsubiri mtu kwa uasherati hatujui kama anafanya hivyo bila idhini ya mumewe.
7. Hata kama anamsubiri mtu kwa uasherati na kufanya hivyo bila ya idhini ya mumewe hatujui historia yao na kilichopelekea hilo.

So much for the religious zealots!
 
Kuna mwingine kule songea anavaaga hivyo huku akiwa kwenye foleni ya KITIMOTO, nimewahi kufuatilia history yake nikaambiwa ni mkristu pure lakini anaficha kovu kubwa la moto alioungua kuanzia kisogoni mpaka mashavuni.
 
watu wanapenda kucheza na MUngu!.............
 

Uko juu kamanda nime i LIKE POST YAKO!
 
Msiingilie uhuru wa watu wengine
 
Huyo anaweza kuwa si mwanamke, anaweza kuwa jambaz anakula-timing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…