Huyu dada amekwama wapi au ndio anataka kuniibia?

Jaribu kuvuta kumbukumbu mlivyoenda kumalizana shida zenu ulifanya kavu kavu?
 
utapeli wa wazi huo
 
...Dah, wanaume wa Leo! Sasa hapo Mkuu in lazima update ushauri wa wadau wa JF wakati umeishajiuliza mwenyewe maswali ya Msingi kabisa?
Hicho ni Kimeo. Tupa Kule....!![emoji15]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera kwa kupona kupigwa.Ila kama huja pigwa siku nyingi unaweza endelea kuwasiliana naye.

Ningekushauri tuu,umjulishe kwamba unaikabidhi namba yake mahali husika kwa sababu yeye anataka kukutapeli
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] atajijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…