Huyu CCM haimwezi, ni untouchable

Nina washkaji wamesoma nae huyu jamaa! wanasema linapokuja suala la kutafuta, kuchakata na kutafsiri data! Huyu jamaa yupo vizuri!
 
akitoka ccm ndo watakumbuka kashfa zake wazimwage kwenye mitandao alafu waanze kulamika kama ambavyo wanalalamika kwa lowasa na sasa nyalandu. wakati ndo wameatamia dola
kuna jamaa moja nilikuwa naye karibu, basi muda wote anajitapa kwamba yeye ni msukuma wa bariadi, yaani mnyantuzu....sasa mimi sio mzaliwa wa maeneo hayo, nilikuwa sielewi kama msukuma mnyantuzu kule kwao ni superior kuliko wasukuma wengine, nikawa nashangaa huyu anajisifia usukumaaa? unyantuzu si usukuma tu?....silidharau hili kabila lakini nilimdharau sana. ukienda mikoa yao hao jamaa wapo makundi mawili, wasukuma washamba na wasio jua biashara, na wasukuma wanyantuzu wanaojua sana biashara, wanapenda pesa. hao ndo maboss wao huko...ila ujanja wote unaishia chalinze. wakifika huku hawafurukuti.
 
Anaweza kushtakiwa ila kwa double standard mlizoamua kusimamia, hakuna wa kumwambia kitu. Watabweka kama mbwa koko ila hakuna wa kung'ata
 
Ndugu wanyantusu wanaitwa wachaga wa kanda ya ziwa
 
akitoka ccm ndo watakumbuka kashfa zake wazimwage kwenye mitandao alafu waanze kulamika kama ambavyo wanalalamika kwa lowasa na sasa nyalandu. wakati ndo wameatamia dola
Lowassa alikuwa na tamaa ya uongozi.
 
ATAHAMIA CHAGADEMA 2020 AJE KUWA MGOMBEA WENU WA URAISI, MAANA MNAMTAMANI KWELIKWELI
 
ATAHAMIA CHAGADEMA 2020 AJE KUWA MGOMBEA WENU WA URAISI, MAANA MNAMTAMANI KWELIKWELI
 
akitoka ccm ndo watakumbuka kashfa zake wazimwage kwenye mitandao alafu waanze kulamika kama ambavyo wanalalamika kwa lowasa na sasa nyalandu. wakati ndo wameatamia dola
KASHFA ZOTE ULIZOMPA NAAMINI UNAAMINI ZINAMKABILI ILA AKIHAMIA CHAGADEMA TU UTAMSAFISHA RASMI AU SIO?
 
1. KWANZA NI TOTO LA KINYAMWEZI (MTOTO WA MJINI)
2. AMESOMA VIZURI (LAW, HAVARD)

KIUFUPI HAKAMATIKI WALA HAADABIKI NA HAKUNA WA KUMUWEZA.

WENGI WALIOSHUGHULIKIWA HAWANA SIFA ZA CHENGE.

Majibu yake tu ni dose tosha.
Toto tena? Duuh! Mabwaku!
 
Dah hii kichwa ni noma.
 
Waziri husika na mwanasheria mkuu wanaenda ku sign document kwa niaba ya serikali.......wakiwa wamesha discuss (draft) na President.....alipowa sainisha mawaziri wake makubaliano ya makinikia alikuwahajui kilichomo??? Asitusumbue hapa!!! Yeye alipo sign kuuza nyumba aliemtumahakujuaa???? Acha weweeee!!!!! Aliponunua meli mbofuu aliemtuma hakujua??? Achaa banaaa wanamuoneaa Chenge.....yeye mtu wa ku sign na kukatiw chake....ila walio nyuma yake hawaguswiii!!! Mikataba yoote lazima ipite kwake....anapewa maelekezo jinsi ya kuandika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…