akitoka ccm ndo watakumbuka kashfa zake wazimwage kwenye mitandao alafu waanze kulamika kama ambavyo wanalalamika kwa lowasa na sasa nyalandu. wakati ndo wameatamia dolaHeshima,
Kuna wakati CCM ilinuia kujikoboa gamba ili iwe mpya. Walitajwa watu wa kuondoka lakini hawakuondoka, angalau kwa kufukuzwa.
Watu walioitwa magamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Lowasa na Rostam wameondoka. Amebaki Chenge, mbunge wa Bariadi Magharibi. Pamoja na kashfa nyingi, kuanzia Radar mpaka Escrow, hakuna aliyejaribu kumgusa Chenge, iwe polisi, Tume ya Maadili au TAKUKURU.
Kuna wakati walijaribu kumtingisha kuhusu documents alizosaini. Aliwaambia hivi, "Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Huyo ni Chenge aka Nyoka Mwenye Makengeza. Nina hakika atabaki salama.
“I’m not stupid to sign an agreement without security”. That sums it all!Heshima,

CHENGE siyo Mnyamwezi.1. KWANZA NI TOTO LA KINYAMWEZI (MTOTO WA MJINI)
2. AMESOMA VIZURI (LAW, HAVARD)
KIUFUPI HAKAMATIKI WALA HAADABIKI NA HAKUNA WA KUMUWEZA.
WENGI WALIOSHUGHULIKIWA HAWANA SIFA ZA CHENGE.
Majibu yake tu ni dose tosha.
Ni msemo tu wa kumaanisha mtoto wa town km nilimuelewa vizur jamaaCHENGE siyo Mnyamwezi.
OkNi msemo tu wa kumaanisha mtoto wa town km nilimuelewa vizur jamaa
Akigamia vyana vingine ndo atakuwa mchafu.
Lakini huyo anajua madudu yao yore akiwa AG
waulize ccm na chenge wao !!Hivi sasa ajenda yenu ni ipi. Kutetea ufisadi
Mkuu naomba unisaidie...hivi akiambiwa athibitishe pasipo na shaka beyond reasonable doubt kuwa aliagizwa na mkubwa wake kusaini anaweza kufanya hivyo?kuna maandishi sehemu yoyote yakimwelekeza hivyo?je Yeye anayomamlaka ya kusaini au hana?Heshima,