Huyu binti simwelewi kabisa vitendo vyake

tipa10

Member
Apr 8, 2015
46
9
last yr nilimpata bint1 nikadum nae kwa mda wa 2mth akasema hahitaj tena kua nami kisa cjib sms kwa wakat japo niko online nikamsih coz ov bze na job hakunielewa tuka achana bt last wk kaanza kunipigia cm sms za mahaba na mipango ya kimaisha kibao mara naitwa mme wangu, cjui analengo gan kwangu wana jf
 
ndiyo unaamka na viroba vya.jana , ,,haya kaoge upate supu na maji makubwa ya kilimanjaro urudi ulale
 
Khaa!! Bajeti haipangiki labda. BTW
"once bitten, twice shy":glasses-nerdy:
 
Lengo ni lile lile kukutesa kiakili na kujua jinsi ulivo mdhaifu...! Kama ulimpitia tupa kule but kama haukumla basi ni mda mzuri sana wakukamilisha mipango..! But huwezi jua ana mawazo mema au mabaya juu yako mpaka aamue kurudisha majeshi
 
Je umejirekebisha tatizo la kutokujibu meseji kwa wakati je?

Je saiv haitaji tena uwe unajibu meseji kwa wakati hata kama ukichelewa hamna tatizo je?

Je wakati hauko nae unajua alikuwa na nani na kwann katoswa huko kaamua kurudi kwako je?

Mwisho Je?
 
last yr nilimpata bint1 nikadum nae kwa mda wa 2mth akasema hahitaj tena kua nami kisa cjib sms kwa wakat japo niko online nikamsih coz ov bze na job hakunielewa tuka achana bt last wk kaanza kunipigia cm sms za mahaba na mipango ya kimaisha kibao mara naitwa mme wangu, cjui analengo gan kwangu wana jf

Dah! Uandishi huu unakera!! Sasa si umuulize lengo lake/ hii nayo inapaswa kuja hapa, au ndiyo uoga wa "kujibu sms" hadi uje uulize kwanza!
 
Lengo ni lile lile kukutesa kiakili na kujua jinsi ulivo mdhaifu...! Kama ulimpitia tupa kule but kama haukumla basi ni mda mzuri sana wakukamilisha mipango..! But huwezi jua ana mawazo mema au mabaya juu yako mpaka aamue kurudisha majeshi

kweli kipofu hawez kumwongoza kipofu mwenzie lacvyo wote watatumbukia shimoni
 
Ata tukijua unataka tufanyaje?wakati maamuzi ni yako binafsi na nafsi yako.
 
Back
Top Bottom