Huyu binti simuelewi!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Nimetokea kumpenda msichana fulani ambaye kanivutia sana.nikamtongoza akakubali kuwa mpenzi wangu.sasa tatizo nalipata hapa,kila akija getto tunapiga story kama kawaida tunachezeana bila nominenga. lakini ikifika wakati wa ku do nikamuomba tu do hakubali wala hakatai yaani hanijibu ananikodolea macho tu.hapo ndo nashindwa kumuelewa.kukaa kimya ndo amekubali au amekataa?nisaidieni jamani.nampenda sana so sitaki kumuudhi.
 
Kwani wewe una miaka mingapi? hujui akikaa kimya ndio kakubali? maana angekuwa hataki angesema hapana. sasa wewe endelea kuzubaa atakuona umezubaa.
 
Kwani wewe una miaka mingapi? hujui akikaa kimya ndio kakubali? maana angekuwa hataki angesema hapana. sasa wewe endelea kuzubaa atakuona umezubaa.

kiukweli hii ndo ilikua koment yangu.
huyu atakua ndo kaanza.

kwa kifupi huyo we mgusetu, atakaa kimya hivyohivyo,
mpapase, atakaa kimya hivyo hivyo, mvue nguo na endelea.............
mwishoe ataongeatu!
 
Dogo naona kama hujakua bado hebu subiri muda ufike hutakuja na maswali kama haya
 
Na we bwana
Si umuulize mwambie
Ukimya wako ndio unamaanisha nini??

Chunga sana usije ukamtia akasema umembaka

mpaka yeye asame sawa mbele kwa mbele au
akupe ishara fuluni " body language" mmmhh
kukukodolea haimaanishi kasema "YES" usikute
kapagawa tu mmmhhh
 
Man walter kombinenga....piga mkuu usiogope huo ukimya....i remember nilifungua goli kwa binti mmoja miaka kadhaa iliyopita..afta gemu binti akadai hatarudi tena but hazikupita hata siku mbili huyo akajaa tena golini mwenyewe.....nikawa full kubanjuka.
 
Subiri mpaka ndoa ndo uanze kula tunda,ukimla sasa hivi utamchoka siku si nyingi.Mie nakushauri kama kweli unampenda huyo dada nenda kwao ukajitambulishe kisha upeleke barua ya posa ili umuoe.Sio vizuri jamani kuwachezea mabinti wa watu kisha hamuwaoi.
 
Nimetokea kumpenda msichana fulani ambaye kanivutia sana.nikamtongoza akakubali kuwa mpenzi wangu.sasa tatizo nalipata hapa,kila akija getto tunapiga story kama kawaida tunachezeana bila nominenga. lakini ikifika wakati wa ku do nikamuomba tu do hakubali wala hakatai yaani hanijibu ananikodolea macho tu.hapo ndo nashindwa kumuelewa.kukaa kimya ndo amekubali au amekataa?nisaidieni jamani.nampenda sana so sitaki kumuudhi.

Silence=Yes
 
Na we bwana
Si umuulize mwambie
Ukimya wako ndio unamaanisha nini??

Chunga sana usije ukamtia akasema umembaka

mpaka yeye asame sawa mbele kwa mbele au
akupe ishara fuluni " body language" mmmhh
kukukodolea haimaanishi kasema "YES" usikute
kapagawa tu mmmhhh

hata mi ndo naogopa.asijekusema eti"sitoki umeshaniharibu" ndo maana nikaomba ushauri.mia
 
Dahhhhhhhhh! Yani we msela umeniamshia hisia, laiti kama angetokea mbele yangu bora sio under 18 ningerarua hizo u*****i!
Sikiliza songi la Kenraz "Ti-Chi"
 
Weeeeee! thubutuuuuu, atasema asante, mi naona anaogopa kwa kuwa sio mjanja kihivo kwenye hayo mambo au anaogopa kukuambia wewe kuwa anataka kwa sababu ndo una do nae mara ya kwanza.
 
Achana kwanza na dunia isiyokustahili.....! Subiri kwanza..... time will tell...!
 
Subiri mpaka ndoa ndo uanze kula tunda,ukimla sasa hivi utamchoka siku si nyingi.Mie nakushauri kama kweli unampenda huyo dada nenda kwao ukajitambulishe kisha upeleke barua ya posa ili umuoe.Sio vizuri jamani kuwachezea mabinti wa watu kisha hamuwaoi.

sasa mkubwa si bora nimchoke kabla ya ndoa kuliko kumchoka mukiwa kwenye ndoa?huu ndo mda wa kusomana ili uhakikishe mnaenda sawa kwa kila kitu.mi naona kama mwenyewe anakubali haiko mbaya.
 
kiukweli hii ndo ilikua koment yangu.
huyu atakua ndo kaanza.

kwa kifupi huyo we mgusetu, atakaa kimya hivyohivyo,
mpapase, atakaa kimya hivyo hivyo, mvue nguo na endelea.............
mwishoe ataongeatu!
FN huyu ndugu kamaliza kila kitu huhitaji ushauri mwingine THREAD CLOSED.

hivi huyu duu unavyo ona wewe kakubali au kakataa?nakutegemea kwa ushauri wako.coz ananichanganya.unanishaurije?mia.
We endelea tu kama ulivyoelezwa na Tasia papasa,mvue,mwandae na mcheze sarakasi kama hataki ataongea.mia.
 
We endelea tu kama ulivyoelezwa na Tasia papasa,mvue,mwandae na mcheze sarakasi kama hataki ataongea.mia.[/QUOTE]

unajua kuna vitu ka vinne vilichangia
1.huu mgao wa umeme
2.haeleweki eti ni mlokore
3.tukikurupushana hiyo condom ntavaa saa ngapi?coz inataka timing
4.mimi sipendi mambo ya kurazimishana,napenda achojoe mwenyewe moja baada ya nyingine.
5.nahofia kumkosa na anaweza kunikosesha aman kama ata amua kung'ang'ania getto.wana matatizo hawa...!!
 
acha ushamba mapenzi hayaombwi kama unaomba kazi.....!

saaly naomba unitoe ushamba kidogo.mi nilijua mapenzi ni maelewano.unajua S mimi kwenye hayo mambo sina makeke.nifanyeje mtu wangu?nishauri kidogo.siku zote maduu ka hawa ukishachovya hawakuachi upumue kila saa simu,uko wapi swt.namuheshimu huyu binti.wewe unavyo ona kunikodolea macho tuu kama fundi saa ndo kakubali au kakataa?
 
Back
Top Bottom