Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Anategemewa kuachiwa biashara za dingi.Dogo inatakiwa asepe mbele na kademu kake!! Aachane na Inz🤣
Khaaa watu mnakesha jf
[emoji23][emoji23] Nani huyo?
Yani amesahau log out?Story za Sky Eclat
[emoji23][emoji23].. Sky ana appear Sana.. kwenye Timeline yangu..Wewe hapo mpaka kufananisha story
Yani amesahau log out?
[emoji23][emoji23].. Sky ana appear Sana.. kwenye Timeline yangu..
Ewaaah ni nzur sana hiyo yani kuna member unashangaa anakumbuka comment zako za mwaka elf 20 ila wewe mhusika hukumbuki
[emoji23][emoji23].. Inatokea!
Fan's au?
Sijakuelewa[emoji4]
Itakuwa sijui kinge kingeee
Ana mtoto mmoja tu wa kiume, alimsomesha Ulaya. Mtoto amerudi na mchumba wa kizungu baba amemwambia ni vizuri aoe mbongo.
Baba ametafuta mchumba kumbe ni ka mchepuko kake. Baada ya harusi mkwe amegoma kutoa kwa baba mkwe.