P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,632 61,180 May 8, 2017 #4 Zee shirikina hatare Nililiona kwny Habari Azam two Jana usiku Eti ajali ile Hakuna damu iliyomwagika wala Majeraha makubwa Mkuu wa Shule Dakika za Mwisho aliahirisha Mwanae asisafiri! Zee Jinga kweli kweli Ila ni Jasiri kuweza kuongea ule Upupu hadharani
Zee shirikina hatare Nililiona kwny Habari Azam two Jana usiku Eti ajali ile Hakuna damu iliyomwagika wala Majeraha makubwa Mkuu wa Shule Dakika za Mwisho aliahirisha Mwanae asisafiri! Zee Jinga kweli kweli Ila ni Jasiri kuweza kuongea ule Upupu hadharani
Mwanyasi JF-Expert Member Nov 16, 2010 7,955 7,107 May 8, 2017 #5 ipo siku utakufa said: Click to expand... ........................
LIKE JF-Expert Member Dec 17, 2013 4,750 9,870 May 8, 2017 #6 Hakika inauma sana.. ila popote pale wapiga deal wapo na fununu za chini ya kapeti zinadai ile ajali ni 'shirki' Stay tuned..
Hakika inauma sana.. ila popote pale wapiga deal wapo na fununu za chini ya kapeti zinadai ile ajali ni 'shirki' Stay tuned..
milioni milioni JF-Expert Member Mar 25, 2013 1,845 1,063 May 8, 2017 #8 Anaweza Kuwa Ameongea Ukweli Uliojificha
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,193 12,172 May 8, 2017 #9 Unaweza kuta ana macho manne anaona mpaka visivyoonekana kwa macho ya kawaida ipo siku utakufa said: Click to expand...
Unaweza kuta ana macho manne anaona mpaka visivyoonekana kwa macho ya kawaida ipo siku utakufa said: Click to expand...