Usawa huu?? watachora sana chini aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwendo wa vizingaaa tuu
aliomba yeye, sa namba yake ya nini?Kama huna hela mzee namba ya mwanamke unapeleka wapi???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji33][emoji33]
Memlia bati 30? si nanunua mchele kila kadhaa?😂 😂 😂 😂 😂 vislay queen vya mwendokasi hivyoo🤭
🙄🙄🙄🙄itakuwa ni hali ya kusadiana na kukuza uchumi ety😛hapa kuna harufu ya ubadhilifu hapa mtu atapigwa soon
😂😂😂😂usimlie bati mwenzio we msaidie tu kama unatoa sadaka kanisan🤭memlia bati 30? si nanunua mchele kila kadhaa?
WeeeeeeH? sadaka!!!! ACHA KABISA MTU HATA SIMFAHAMU?😂😂😂😂usimlie bati mwenzio we msaidie tu kama unatoa sadaka kanisan🤭
🤣🤣🤣🤣nimecheka sanaaa aseh ndo mwanzo wa kufahamiana huo utajilia mzigo kulainiWeeeeeeH? sadaka!!!! ACHA KABISA MTU HATA SIMFAHAMU?
Hii mizigo nawaachia nyie MABAHARIA mimi, vibinti vya umri wa uteenagers sivitakagi🤣🤣🤣🤣nimecheka sanaaa aseh ndo mwanzo wa kufahamiana huo utajilia mzigo kulaini