Huyu anahitaji msaada wako. Msome tafadhali!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Husika na ombi lililopo kwenye kichwa cha uzi huu. Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Nyabisindu kata ya Kabanga anaomba kubadilishana kituo cha kazi na Mwalimu Mtanzania yeyote anayependa kwenda Ngara kutoka mikoa ya Tanga,
, Pwani Morogoro, Iringa, Mbeya au Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi piga 0768756525. Nawasilisha.
 

Kifupi umenoa, nani anataka kwenda chaka?kaa huko huko uikstaafu unaweza hamia mjini
 
si bora wewe una kazi unatafuta wa kubadilishana nae wengine hata hiyo ya kubadilishana hawana kaa huko huko ndugu kupata mtu wa kuhamia huko ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…