Huyu akamatwe haraka sana

huo mwandiko tu shidaaaaaaaaaaaa
 
Ni makosa ya uandishi. Ninachojua alidai 10,600 kamili. Mtoa mada ndiyo mbulula. As if halijawahi kukosea. Shenzzzcxxxx

wewe ndo mbulula! hili ni jipu kweli na linahitaji kutumbuliwa tena haraka sana! TRA wawe makini ktk hili. mtu unanunua mzigo wa $.5m badala yake muuzaji anaandika kwenye receipt Tsh.5m. eti ni typing error !!!
 
hili jipu litumbuliwe immeditely.

alafu huyu mtu alikuwa na mchepuko. yeye kapiga bia mbili na mshikaki mmoja, mchepuko soda mbili, CHIPUSI na mishikaki miwili. kama niliwaona vile! walikaa kwn angle yenye mwanga hafifu
 
hili jipu litumbuliwe immeditely.

Huyu mwenye hii bili ni pumbavu kabisa, alienda baa na mtoto wa shule, yeye katupia bia mbili na mtoto wa watu soda mbili na chips na mishikaki. Alafu unajua nini kilichokuwa kikiendelea? hii ni room service order, ndo maana hajaagiza bia nyingi kwa maana alikuwa na shughuli nyingine ya muhimu. Alafu huyu muhudumu ni jinga kabisa, sikuzote alikuwa anamtaka huyu jamaa bila mafanikio, sasa leo jamaa kaja na demu mwingine muhudu kakasirika mpaka kakosea namba kwenye bill.
 
m
na wewe ni jinga kabisa..kwendaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…