Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

Sasa mbinguni umeweka picha ya lee min ho
 
sasa mkuu mwanamke atapendaje mwanamke mwenzake? huo sindio usagaji wenyewe?.

Ukiona mwanamke anapenda mwanaume mwenye sura ya kike huyo ni msagaji tuu, hakawii kuwataka hata mabinti wenzake.

mwanamke anatakiwa apende mwanaume kweli yani mwenye sura ngumu ya kiume kweli.
 
Hamzidi bwana Musa Ally wa kasri la herar🤣🤣🤣🤣
 
Muvi za kikorea znaigizwa na watoto wa sekondar,kuna uongo uongo wa ktoto sana,series nzima hakuna hata mzee vyote ni viteenager.

Series za kihindi nako utoto mwingi ingawaje huku wanaigiza watu wazima.
Umeangalia drama moja ukafanya conclusion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…