Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
112
250
Anaitwa Jo won amezaliwa mwaka 1987 amecheza series Kama Yong pal, bridal mask, my sasy girl na nyingine nyingi.wakorea huwaambii kitu kuhusu huyu jamaa. Wakorea wenyewe wanaamini ndo actor mwenye mvuto zaidi katika kila idara wabongo nyie mnaamini Lee Miho ndio actor mwenye mvuto lakini Korea na baadhi ya nchi za kiasia kama Japan, Thailand na Taiwan jamaa wanamkubali hatari.

Lee Miho mwenyewe amewahi kutengeneza Kiki kwamba amewahi kudate na mpenzi wa jamaa ili apate Kiki lakini jamaa aliamua kumpuuza. Wanawake ambao amewahi cheza nao movies au series wanasema wanavyoigiza na jamaa hujikuta wanamtamani kweli kweli, hii yote ni jinsi jamaa anavyovutia.

Madirectors pia na wenyewe wamediriki kusema huwa wana uhakika wa movies au series zao kuingia mapato zaidi kama jamaa akiwa ndani hii ni yote kwa sababu jamaa ameliteka soko la movies naam mwamba kutoka Korea

3ee1a786cfa9808cb5749597e68d542d.jpg
 

Dream Queen

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
4,989
2,000
Huyo mtu wako hata top 5 hayupo sijui umemtoa wapi, eti wakorea huwaambii kitu,
Bongo Lee minho atazidi kua juu tu, korean dramas zimependwa Africa sababu ya Boys over Flowers.
 

Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
5,094
2,000
Huyo mtu wako hata top 5 hayupo sijui umemtoa wapi, eti wakorea huwaambii kitu,
Bongo Lee minho atazidi kua juu tu, korean dramas zimependwa Africa sababu ya Boys over Flowers.
Mkuu hebu picha ya huyo mwingine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom