Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

Kwa Chris Hemsworth ni sauti yake hata Chris Evans, Vin Diesel ndo kiboko yao, kama anaongelea kwenye mtungi walai
Ila chris evans mzuri jamani πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ
 
Simply speaking.. Series za Kizungu ni Kali.. zimeenda skonga.. na Unpredictable.
 
Kitu kilichonipa maswali kwenye Troy must Fall kwann Archilles ambaye ni miongoni mwa miungu ya kigiriki kuwa Black alafu gay.

Vikking nairudia kila nikipata muda nadhani bado inaendelea
umeishia season ya ngap mkuu
 
Nani wa kunitenganisha na JUMONG?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Jumong ile ya mapanga na mishale wana ruka ruka na mashuka yao ndio unasema nzuri?

Vipi kuhusu iris na squid game?
 
Siangaliagi Movie za kikorea,,Chalii mwenye muonekano mzuri kwa hawa Wakorea,wachina,Wajapan,Wathailand ni Kris Wu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…