Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

Wanaume wenye miili midogo midogo,sura za kike hawa huwa hawavutii aisee upande wangu mimi

Hawa hapa wanaume bana alaaa mapande ya mtu
IMG_7960.png

IMG_7962.png

IMG_7963.png

IMG_7961.png
 
Kwa Chris Hemsworth ni sauti yake hata Chris Evans, Vin Diesel ndo kiboko yao, kama anaongelea kwenye mtungi walai
Ila chris evans mzuri jamani πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ
 
Zipo nzuri kama jumong, slave hunter (chuno), mimi movies zao nazozipenda ni zile zenye plot za kizamani. Hizi za plot za kisasa uwa naona zimekaa kike kike + utoto mwingi.

By the way mimi series zangu ni design ya game of thrones. Sijawahi kuona series kama game of thrones bwana.
Simply speaking.. Series za Kizungu ni Kali.. zimeenda skonga.. na Unpredictable.
 
Zipo nzuri kama jumong, slave hunter (chuno), mimi movies zao nazozipenda ni zile zenye plot za kizamani. Hizi za plot za kisasa uwa naona zimekaa kike kike + utoto mwingi.

By the way mimi series zangu ni design ya game of thrones. Sijawahi kuona series kama game of thrones bwana.
Jumong ile ya mapanga na mishale wana ruka ruka na mashuka yao ndio unasema nzuri?

Vipi kuhusu iris na squid game?
 
Siangaliagi Movie za kikorea,,Chalii mwenye muonekano mzuri kwa hawa Wakorea,wachina,Wajapan,Wathailand ni Kris Wu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom