De gea. ni mtamu kuliko wote kwakua yeye Difence yake ni mbovu kuliko ao unao sema wanamzidi. Matokeo ya man u anayatafuta kwa uwezo wake mwenyewe.Wewe ndio ushabiki kwani De Gea ameanza kudaka wakati wa mourinho?? Shida JF ya siku hizi imevamiwa watu hawana uelewa wa mambo alafu wanataka kuwa wachambuzi
De Gea toka amekuja kacheza mechi 259 na ameshafungwa magoli 256 ikimaanisha kwa average anafungwa kwenye kila mechi na ameokoa penalty 2 tu maisha yake yote man U??
Sasa tuje kwa Oblak.... Kacheza mechi 170 na amefungwa kwenye mechi 70 pekee ikimaanisha hajafungwa mechi 100 sasa unasemaje De Gea ni best in the world??
Njooni na takwimu sio ushabiki..... Huyo De Gea anabebwa na media tu ila kuna makipa hawafikii mfano Ter stegen, De Gea, Handanovic,Donarumma n.k ila kwakuwa mnaongozwa na mahaba basi mnamuona ndio the best.
Kwa takwimu rasmi kutoka vyanzo mbalimbali ni kwamba save per goal ratio ya Oblak ni kubwa kuliko ya De geaKwa Defence ya Manchester United inayolalamikiwa na kila mtu kwa misimu zaidi ya minne hivi sasa, ni vigumu sana kwa kipa kupata clean sheets nyingi, sipingangani na takwimu maana najua ni kweli Jan Oblak anacleansheets nyingi tangu 2014, lakini anapata hizo cleansheets kwa ubora wa mabeki na viungo wakabaji wa Atletico Madrid ( ingawa kwa msimu huu wanamapungufu kwenye defence line yao kama ni mfuatiliaji mzuri wa La Liga utaelewa hili) lakini kwa misimu minne iliyopita Atletico Madrid ndo team yenye defence nzuri kuliko team zote kwenye top 5 best leagues in Europe.
kwahiyo sishangai kuona hizo statistics zikimfavour Jan Oblak, Kama unatakwimu za saves walizofanya unaweza kuweka, lakini under poor defence hata Jan Oblak anaperform vibaya jaribu kuangalia performance yake akiwa Slovenia utaona hilo.
lazima atakuwa ni FREEMASON...Huo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani!
Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu!
Ni hatari!
Mkuu nimeweka takwimu ni vizuri na washabiki wa man u mje na takwimu kuliko maneno ya kutiana moyo..... Nimeweka takwimu hapo kuwa save percentage ya Oblak ni kubwa kuliko De Gea sasa unasemaje tena kuwa ana defense mbovu ilihali ratio inaangalia magoli uliofungwa vs shots on targetDe gea. ni mtamu kuliko wote kwakua yeye Difence yake ni mbovu kuliko ao unao sema wanamzidi. Matokeo ya man u anayatafuta kwa uwezo wake mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shida mnaongozwa na ushabiki wa Man U badala ya uhalisia.... Mie nimeweka takwimu hapo sasa kwanini msjikite kwenye takwimu kuliko mahabaMkuu,tangu nimeanza kuona michango yako humu JF sijawahi kuona ukichangia pumba kiasi hiki.
Nakusihi katika jina la Yesu uendelee kubaki katika Jukwaa la siasa kwakuwa sipendezwi kuona ukitema Pumba/mataputapu yenye viwango vikali kama hivi.
Hakuna shabiki wa mpira mwenye utulivu wa akili anayeweza kujaribu hata kimoyomoyo tu kumfananisha DDG na kipa yeyote yule hapa duniani kwa sasa!
wanacheza Ligi ya mbuz hao muulize kocha wa Man City anavyoumbukaKwa Defence ya Manchester United inayolalamikiwa na kila mtu kwa misimu zaidi ya minne hivi sasa, ni vigumu sana kwa kipa kupata clean sheets nyingi, sipingangani na takwimu maana najua ni kweli Jan Oblak anacleansheets nyingi tangu 2014, lakini anapata hizo cleansheets kwa ubora wa mabeki na viungo wakabaji wa Atletico Madrid ( ingawa kwa msimu huu wanamapungufu kwenye defence line yao kama ni mfuatiliaji mzuri wa La Liga utaelewa hili) lakini kwa misimu minne iliyopita Atletico Madrid ndo team yenye defence nzuri kuliko team zote kwenye top 5 best leagues in Europe.
kwahiyo sishangai kuona hizo statistics zikimfavour Jan Oblak, Kama unatakwimu za saves walizofanya unaweza kuweka, lakini under poor defence hata Jan Oblak anaperform vibaya jaribu kuangalia performance yake akiwa Slovenia utaona hilo.
Hahaha, huyu bi gea si alifungwa goli tatu ndani ya dk 10?Mfano jana Totenharm kipindi cha pili kwa presha waliyokuwa nayo wangeweza kufunga magoli mawili au matatu golikipa yoyote yule ambaye haitwi De gea
Mkuu baki kwenye siasa tuMkuu mbona hata champions league/Europa league bado Oblak amemzidi clean sheets na save percentage kwa mbali sana au champions league nako ni ya timu 4??
Huyo jamaa zwa zwa sana mkuu ! [emoji4]Hizo takwimu zako ziweke vizuri,vinginevyo nawe ni shabiki tu
Unasema De Gea kacheza mechi 259 na kufungwa magoli 256
Oblak Mechi 170 na kafungwa mechi 70, hapa kwanini usiweke idadi ya magoli kama ulivyofanya kwa De Gea?
Binafsi namkubali sana Jan Oblak na nishabiki wake, uwezo wake hauachi mashaka kabisa.
Mkuu shida mnaongozwa na ushabiki wa Man U badala ya uhalisia.... Mie nimeweka takwimu hapo sasa kwanini msjikite kwenye takwimu kuliko mahaba
Shot per goal ratio De Gea kazidiwa na Jan Oblak sasa hapo unasemaje de gea ni mzuri kuliko Jan Oblak.... Ni vizuri tuwe tunafuatilia ligi zote kuliko kuangalia tu EPL alafu tunadhani ndio mpira unaishia hapo hapo
Kwa asie mkubali Degea kwa game ile basi huyo sio shabibiki wa MpiraHuo uwezo wake si wakawaida-haiwezekani!
Kipa gani yupo makini kupitiliza namna hiyo!?Mm kuanzia leo nawasiliana na babu kule kijijini tulijadili suala la uwezo wa kupitiliza wa huyo mtu!
Ni hatari!
Mchukue kipa wa timu nyingine mchezeshe na defence ya man u tuone atafungwa mangapi.Washabiki kwa kukuza mambo hamjambo..... Eti best goalkeeper in the world!! Huyo De gea kafungwa magoli 32 ndani ya mechi 22 pekee ilihali wenzake kina Oblak wamefungwa magoli 10 pekee msimu huu mpaka sasa.....
De Gea kweli kajitahidi sana Man U lakini ni wa kawaida sana sema anabebwa na media na ndio maana alikua hana msaada wowote kwa timu ya taifa hadi kusababusha ikatolewa mapema imagine alishindwa okoa hata penalty mechi ya Russia.....!!
Defence mbovu clean shit nyingi atapata wapi? Defence kama ile ya man u.. inavuja sana. Yeye kama kipa hawez fanya kila kituMbona ana clean sheet 4 tu msimu.mzima. ujini wake ulikuwa wapi?? Amekuwa na game moja tu vizuri mshaanza kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujawahi kumuita jina bayaWatu wa man u bwana leo kafanya vzur mnamsifu na kumuita genius ila siku akizingua mtamuita kila aina ya jina baya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama lini tumemuita jina baya?Watu wa man u bwana leo kafanya vzur mnamsifu na kumuita genius ila siku akizingua mtamuita kila aina ya jina baya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawasilize wachambuzi wakubwa watakwambia kwann ni keeper boraMbona ana clean sheet 4 tu msimu.mzima. ujini wake ulikuwa wapi?? Amekuwa na game moja tu vizuri mshaanza kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app