MulRZGM
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,012
- 739
Wakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia
...najiuliza maswali uyu dogo ni vip huu umaarufu kias hiki?
Na uko kasulu mjini napoelekea nasikia ndyo hatar balaa jinsi anavozungumziwa, apa saiv kuna watu wanabishania kwamba 'kigoma mjini watu ni wengi na ukute matiket yashaisha'
Nimeshindwa kuaplod video ya nlichokieleza mana network kdg ni shida sababu hali ya hewa, haiko poa....
Big up sana dogo mondi....
Sent using Jamii Forums mobile app