Huwezii futa

Huwezii futa

Wanaume mnajiona kuhangaika kupata pisi Kali Kwa gharama yeyote ila kumbe mganga yeye hupewa mzigo kiulaini na pesa uliohonga wewe kirahisi so ndio maisha. Inabidi uzoeee

Kaa Kwa kutulia.
Unakuta jamaa nzuri kama Nini kumbe katika Kwa mganga katumwa kukuvutia anachukua nyota Yako,Hawa wamagari ya kisasa hushangai wakikupa hela unafulia wiki nzima hataziwe nyingi kiasi gani na hatumii Kinga na akitumia ananuna na akishalala nawe Hana muda nawewe mpaka mganga akimwambia arudi Tena kukutafuta na Wala ukatai ila Kuna kitu kinakukataza.

Kwendraa ila unaenda tu kama mtumwa hujawahi ona hii kitu???
Chukua hatua usipende vya Bure tafuta hela
Vzuri kabisa
 
Back
Top Bottom