HUWEZI KUDAI STATE HURU ZANZIBAR BILA KUITAMBUA TANGANYIKA!

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
KUNAPOKUWA NA WATU KAMA HAWA WAKIONGELEA ATI MAMLAKA ZA ZZANZIBAR NA KUJIITA STATE NDANI YA MUUNGANO NA WAKASIKILIZWA NI UJINGA WA HALI YA JUU WANAOMSIKILIZA KUSHINDWA KUSIKIA KUWA TANGANYIKA INASTAHILI KUWA INDEPENDENT STATE BILA ATHARI JUU YA MUUNGANO!

Elewa tu kuwa kujitafutia uhuru wa nchi ya Zanzibar nje ya Uhuru wa Tanganyika ndani ya Tanzania ni kujiwekea pingamizi binafsi la kufanikiwa!!..Ungekuwa na akili za kutosha kama ungelink matakwa yako na ya Independent State of Tanganyika ili upate support ya Bara na wote mngefanikiwa bila moja kumuathiri mwenzake!
 
Back
Top Bottom