Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Tusubiri tuone lakini Africa kwa rushwa hiyo ndio inanipa wasiwasi
hawa jamaa wamejribu kuhonga marefa , na wamewalipa wachezaji wa yanga buku kumi kumi ili wawashangilie , hii klabiu inapenda sana vitu vya short kati