Huwajui waluguru ndio maana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeishi pia na waliguru ht ukimkuta Profesa mluguru jua kbs 100%anaroho mbaya...mie simo shost
Nakumbuka katika moja ya vipindi vya kambi popote kutoka kwa Antonio Nugaz, katika mahojiano na baadhi yao, wao wenyewe walikua wanakiri kwamba wana ubinafsi. Hata ndugu kuinuana ni ngumu kwa maana aliyejuu anaogopa asije kupitwa, anataka ndugu wamlilie shida, wamuombe, wambembeleze, hiyo ndo fahari ya aliye juu kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe sema kweli??hahhaa aisee kumbe wanajijua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mue hawa watu wamenifanyiaga roho mbaya sana kweรฑye masuala ya biashara jaman..had unarudi nyuma unajiuliza nimemkosea huyu nn??alafu asbh akikuona anakuomba walau hela ya supu..nyuma anakuumiza mno mno..!dah
 
Kweli ukiipata hiyo clip ya kambi popote utasikia mwenyewe, ila wanadai "siku hizi wanabadilika".


Fungua YouTube: Kambi Popote Mila na Desturi ya Watu wa Morogoro Part2.
 
Walaguru si ndio wale walioitwa malofa!!?
Hata Lodi lofa ni mluguru
Sent by Diaspora
 
hiyo point ya uvivu hiyo naiwekea mkazo kbs,Hawapendi kujishuhulisha wanapenda mtelezo tu,hawapendi kusoma ,kuchezwa ndio kitu wanapenda sn kwa jinsia ya kike
 
Katka makabila ambayo hayana maendeleo ni warugulu. ... hili kabila la hvyo sana washirikina mno wabishi balaa...
Ukitaka kuamini katikati ya mji wa morogoro mitaa kama mlapakolo mtoni street kote kuna nyumba za miti na zmeoza. ..ndani ya nyumba hzo unakuta bibi babu ,mama wajukuu watoto wao wote wanaishi humo humo na wazalishwa humohumo utakuta bint ana miaka 19 Lakn ana watoto watatu wanaishi nyumba hyo hyo ya ukoo. ....

Yaani ukitaka kuwa masikin oa mluguru ukoo wa mjomba babu shangazi binamu wote watahamia kwako kazi yao ni kushinda kwenye vigodoro usiku na mchana
 


Mungu nisaidie niscomment kwa hii comment๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚maana nina rafiki humu mluguru๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท
 
Kijana wa miaka 24 wa kihehe ni tofauti kbs kbs na kijana umri huo wa kiluguru..sijui kwann jaman!kija a wa umri huo mhehe ukikaa naye utajua hapa nimekaa na kijana anayejitambua..mara nyingi atakuambia nimelima eka 2 za mahindi au maharage..au atakuwa ana bustan za njegere au kabeji..
huyu wa 24mluguru age hyo..ametoroka kwao amempa mimba mtoto wa jiran..ashanyoa kiduku akijitahf sana baa anaendesha boda ya kugongea kwa mshikaji...!hela anayopata inapitiliza dukan anunue pamba ashine๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ