Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,466 Reaction score 42,602 Mar 1, 2019 #201 Amos makala ndio umemuongeza kwenye list ya wabunge wa Morogoro ambao sio waluguru japo mimi nilizungumzia pale manispaa toka enzi za kina julius Nyerere amir jamal shamim khan aziz abood kwa uchache dr mzeru
Amos makala ndio umemuongeza kwenye list ya wabunge wa Morogoro ambao sio waluguru japo mimi nilizungumzia pale manispaa toka enzi za kina julius Nyerere amir jamal shamim khan aziz abood kwa uchache dr mzeru
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,926 Mar 1, 2019 #202 Mloka na mkude ni wanaume bwana acha kabisa. Mloka alikataa kuhama mpaka alipopigwa na mwenyenyumba. Na mkude ndio kabisaa alibomoa nyumba yake kuwakomoa wapangaji!! Baadhi ya Sera za waluguru!
Mloka na mkude ni wanaume bwana acha kabisa. Mloka alikataa kuhama mpaka alipopigwa na mwenyenyumba. Na mkude ndio kabisaa alibomoa nyumba yake kuwakomoa wapangaji!! Baadhi ya Sera za waluguru!
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,226 Reaction score 39,713 Mar 5, 2019 #203 UfUPI kama wote
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,226 Reaction score 39,713 Mar 6, 2019 #204 Waluguru ni kwikwi. Halafu walivyo wa ajabu wanakimbilia kuoa wamachame. Wacha wanyooshwe
NDABANINGI STHOLE Senior Member Joined Mar 4, 2019 Posts 154 Reaction score 102 Mar 6, 2019 #205 Hawa voda ni majambazi kbs wa mchana kweupe. Sent using Jamii Forums mobile app