Wachaga hatuhisiki hapo labda wasukuma wamemtumaNimeacha kusoma baada ya kukutana na mlinganisho wa WAHAYA na waruguguru..
One day mtaacha hizi dharau, obvious umetumwa na wachaga
Ni utani tu mkuu, kwanza hapo wahaya sijawadjarau ila nimewapa sifa kuwa ni usomiNimeacha kusoma baada ya kukutana na mlinganisho wa WAHAYA na waruguguru..
One day mtaacha hizi dharau, obvious umetumwa na wachaga
Mwalimu ilikuwa lazma ashinde mkuu, alikuwa na back up kubwa saana, mbali na wapiga kura,Nimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha watani zangu waluguru mkuje pande hizi Manengelo ana leta utani wa ngumi huku, Binafsi najiuliza ni yale magimbi wanayo kula toka wakiwa watoto yanapelekea kuwa wafupi π€£π€£π€£π€£200%kwenye roho ya korosho hKun kabila lenye hiyo tabia jaman jama waluguru..yaan wana roho mbaya jaman..wanataman mda wote uwe chini yao au muwe sawaππ
Hahahaha watani zangu waluguru mkuje pande hizi Manengelo ana leta utani wa ngumi huku, Binafsi najiuliza ni yale magimbi wanayo kula toka wakiwa watoto yanapelekea kuwa wafupi π€£π€£π€£π€£
luguru aise
Maajabu ya jamii forum ukute Manengelo ni Mluguru ufupi kama wote π€£π€£π€£π€£ππππnimeishi pia na waliguru ht ukimkuta Profesa mluguru jua kbs 100%anaroho mbaya...mie simo shost
ππmie kwenye ufupi siwasemi..coz na mm ni.mfupiππila nalia na roho mbaya zaoππMaajabu ya jamii forum ukute Manengelo ni Mluguru ufupi kama wote π€£π€£π€£π€£
Watu wafupi kwa roho mbaya ni 50/50ππmie kwenye ufupi siwasemi..coz na mm ni.mfupiππila nalia na roho mbaya zaoππ
πππππWatu wafupi kwa roho mbaya ni 50/50
Bila kupepesa macho wala kuremba mwandiko hoja yako imejaa mashiko matupu mkuu.Nina ushahidi usio na shaka mbele ya jamii.Mmewasema sana ila amini kule kupanda na kushuka milima huku wanamzigo kichwani, kunafanya wanawake wa kiruguru kuwa na injini moja matata sana zaid ya Benz