my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Tupeane uzoefu huwa unapenda kufanya nini shule zikifungwa mpaka zikifunguliwa.
Part time job !! katafute kazi ujishughulishe "skills" Vijana wa umri wako wanajitahidi kujijenga kimaarifa......2peane uzoef. w ua unapenda kufanya nn xul zkifungwa mpk zkifunguliwa.
punyeto kwa xana 22peane uzoef. w ua unapenda kufanya nn xul zkifungwa mpk zkifunguliwa.
Wee Binty !! ivo una njaa na mwembe upo hapo umejaa embe..wewe wasubiri embe zidondoke ndiyo ule!! khaah..kaz znyewe zpo wap. kaz amna cku hz. au km unapajua znapotolewa nambie
kaz znyewe zpo wap. kaz amna cku hz. au km unapajua znapotolewa nambie
Tupeane uzoefu huwa unapenda kufanya nini shule zikifungwa mpaka zikifunguliwa.