Huwa siwezi kabisa....


Duuh nyumba nyengine noma, nimeshawahi kuona studio lakini bila mlango wa toilets, never :nono: Tumia mbinu, oga au kata gogo akiwa amelalal au ametoka.

Sasa akija mgeni akitaka kujisaidia inakuwaje, nyote mwatoka chumbani?
 
We unaogopa nini wakati hayo ni mambo ya kiafya...sasa unataka ukiwa unajisaidia usitoe "gas and Solid" staff......Basi ukiwa unaingia chooni weka muziki kwenye simu yako ili asisikie.....hahaha
 

Aisee lol......wakati wa kuoga????? .....daaaah huyo kweli hana aibu tehe tehe tehe!
 
ww usha kuwa mkubwa sasa na kama huyo ni mkeo huna haja ya kujishauri ww achia mzigo tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
 
Hahahaaa... Umenichekesha sana.. mambo yooote mnayofanya huoni aibu, aibu inakuja kwenye kukata gogo???.. Mmh..Pole yako kaka!
 
Siyo kila kitu nicha kupost!
Akili tunazo, matumizi hatuyajui.

Hivi ni ushauri gani hapo unautegemea?
Mnafanya tuamini hakuna sifa za kuoa, yan hadi swala la toilet unataka ushauri?

Nafikiri ni vizuri ukatafakari kabla ya kuweka uzi.

@ruttashobolwa You're right bro! Ila look in the bright side, the guy made our day!
Hahahahahaha! Eti na vijambo juu!!
Big up mtoa mada!
Technically baada ya kufurahi we can do nothing coz huwezi shindana na nature...thats why its called the call of nature. When nature calls you can't resist
 
Bado haujakua na inaonekana unamwogopa mkeo na mbaya zaidi ulizoea kwenda porini
 

Una beleshi/koleo? Kama unaona aibu ku n y a chooni wakati mchumba wako yupo basi uwe unakunya nje, unazoa na beleshi/koleo halafu unahifadhi panapohusika.
hwell:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…