msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,205
- 7,720
Kuna sehemu mbezi niliona bajaji imeandikwa hivyo,,,,nikacheka sana ,yani bajaji inataka ikikuwa iwe scaniaDaaah! Nimecheka sana "when I grow up I wanna be a scania"
Kuna sehemu mbezi niliona bajaji imeandikwa hivyo,,,,nikacheka sana ,yani bajaji inataka ikikuwa iwe scaniaDaaah! Nimecheka sana "when I grow up I wanna be a scania"
hii imekaa kikatili sana.Tafuta pesa mkeo aninunie..
Dela jipya chupi ya zamani
Dela bila chura sawa na kanzu...
Dela jipya chupi ya zamani
Anamsema jiwe huyu" cheo chako mbinguni hakipo".