Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 246
- 457
Case closed.Kwa kuwa walikuwa wamefahamiana kwa muda fulani,
Ww ni mwehu lengo lako tushalijua, tutaendelea na hiyo system kama kawa kukwepa hizo tozo za kipuuziRafiki yangu yupo mkoa "A",ni wakala wa mitandao ya simu.Kuna mteja alikuja dukani kwake;akamwambia,"Kaka nataka kukwepa tozo ya kutumiwa pesa,naomba namba yako ya uwakala nimtumie mtu yupo mkoa "B" akuwekee pesa afu unipe cash"
Kwa kuwa walikuwa wamefahamiana kwa muda fulani,rafiki yangu alikubali.Yule jamaa aliye mkoa "B" aliweka pesa,rafiki yangu aliiona pesa na kumpa yule mtu cash.
Ebhanaaee kumbe yule jamaa wa mkoa B akawapigia mtandaoni kuwa ametuma pesa kwa bahati mbaya hivyo aliomba wai"withhold" afu wairudishe.
Rafiki yangu kuja kushtuka hela inarudishwa,alipofatilia,yule jamaa wa mkoa "B" akasema hafahamiani na yule aliyechukua hela,hivyo hela zikawa zimeenda hivyo.
Aliwapigia mtandaoni wakasema anahujumu kampuni kwani nao wanategemea faida ya tozo.
Tuwe makini!!!
Mara nyingi mitandao wanaangalia eneo yani minara ndio maana hawatak wakala atume pesa kwa mteja au wakala ambae yupo nje ya eneo lake kwa njia iyo ikitokea mteja au mtu amelalamika amekosea ata kama watakupgia ni kujirizisha tu lkn ela watairudsha ukikomaa sana ,wataizuia kuwataka mukutane watakapoamua wao tatzo linakuja je atakuja yule yule aliekuja siku ya kwanza kwakoNinavyojua mtandao hawawezi kurudisha muamala wowote bila kumuuliza wakala labda kama Kuna aliepo kwenye mtandao husika anatumika kuiba
True 100%Ninavyojua mtandao hawawezi kurudisha muamala wowote bila kumuuliza wakala labda kama Kuna aliepo kwenye mtandao husika anatumika kuiba
Umeingia chakaNinavyojua mtandao hawawezi kurudisha muamala wowote bila kumuuliza wakala labda kama Kuna aliepo kwenye mtandao husika anatumika kuiba
Uko sahihi..Mara nyingi mitandao wanaangalia eneo yani minara ndio maana hawatak wakala atume pesa kwa mteja au wakala ambae yupo nje ya eneo lake kwa njia iyo ikitokea mteja au mtu amelalamika amekosea ata kama watakupgia ni kujirizisha tu lkn ela watairudsha ukikomaa sana ,wataizuia kuwataka mukutane watakapoamua wao tatzo linakuja je atakuja yule yule aliekuja siku ya kwanza kwako
Asante mkuu.pole sana ...
SealedCase closed.
Sasa sijui imekuwaje tuNinavyojua mtandao hawawezi kurudisha muamala wowote bila kumuuliza wakala labda kama Kuna aliepo kwenye mtandao husika anatumika kuiba