Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Jamani kwa wale tunaotoka Zanzibar to Dar tunaibiwa sana maeneo ya bandarini pindi unapopita na TV yako. Hili ni kero na nimeamua nililete hapa kama kuna ufumbuzi wowote upatikane.
Mimi binafsi nilipita na TV Flat inch 28 nikatozwa elfu kumi, huu ni wizi.
Mimi binafsi nilipita na TV Flat inch 28 nikatozwa elfu kumi, huu ni wizi.