Huu wivu siuelewi

Yaani unawivu unataka akukule ww au unaonea wivu madem anaowaleta kwamba anafaidi?
 
Tatizo una homoni za kike.maana wanawake ndio wana wivu wakuona mume wake katembea na mwanamke mwingine.

Unaona wivu unataka wewe ndio ungongwe ngozi?
 
najikuta nina wivu juu yake hebu wadau nisaidie hii inatokana na nini?

Nafikiri hakuna mtu alieelewa hiyo sentensi hapo. Una wivu juu ya nani? Au ulitaka kusema jamaa akileta mademu na wewe unawatamani hao madem zake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…