Ilikuwaje mpaka wampe Mrisho Mpoto?
Sijausikia lakini tayari wameshanitoa stimu.
Bora hata wangewapa wapiga Singeli.
hebu rusha tuone ilivyokuwa marahaMwaka huu Simba day haiwezi kuifunika wiki ya mwananchi...hakuna tukio kali kama wachezaji walivyoizunguka nembo ya klabu..iga tembo kuny@......