Huu wimbo utata mtupu!!

Juzi kati alihojiwa kuhusu hilo,akajibu,ilitakiwa iwe philemonia,ambalo ni jina la kike,ila wakati wa kuimba likaleta shida,ko walifupisha ili asitoke nje ya mpangilio.

Hebu waone wahusika uoanishe na kauli hiyo. Pia jina la kike sio philemonia bali philomena ambalo lingefit vizuri tu !!!!!!!

Juzi kati alihojiwa kuhusu hilo,akajibu,ilitakiwa iwe philemonia,ambalo ni jina la kike,ila wakati wa kuimba likaleta shida,ko walifupisha ili asitoke nje ya mpangilio.
mbona kwenye picha kaweka wanaume?kwanini asingesema hadija ?haya mambo yalikuwepo sana yangu miaka hiyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…