Huu wimbo unanitoa akili mwenzenu unanichanganya kisaikolojia

Ududu

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
1,020
556
"Nimekua kaa daladala, kutwa kucha kwa barabara, nizichange hizo gwala gwala nikutunze mama"

Sijui kauimba nani, kwangu ni wimbo bora kabisa wa decade hii kutoka hapa nyumbani Tanzania.
 
Bila shaka ni "Kajiandae" ya kwake Omary Faraji Nyembo na Ally Salehe Kiba, ni ngoma moja nzuri sana hasa kwa sisi tunaopenda mziki mzuri bila kujali hizo timu zao
Tuewkeeni tuusikie nimependa huo mstari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom