Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 323
Ni wimbo aisee!
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
Jamaa unakili sana, yani unaipromote nyimbo kijanja. Kuna watu walikuwa hawaijui sasa wataenda kuitazama kuthibitisha ulichoandika.Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
😁😁😁Umekosa cha kusema nyimbo mbili tofaut kabisaaa