Huu utani mwingine sio! Kenya mnatutaka nini

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,819
2016-02-28%2B13.56.59.jpg


Hawa watu wanatutaka nini, juzi wameleta utani wa Olduvai Gorge ipo Kenya, sasa wamehamia kwenye utani na Mt. Kilimanjaro.

Tafadhali waziri Maghembe, tumbua hili jibu.
 
Wakenya ni majizi, mpaka Rais wao anawajua.
Kwa ujumla Wakenya wanaishi kwa ujanja ujanja.
 
Wakenya wanajua kutumia uzembe wetu kujinufaisha wao na nchi yao. Sisi na nchi yetu kwa uvivu wetu wa kufikiri wacha tuendelee kuibiwa na sijui kama tukilalamika tunafaidika na lolote. TTB na Wizara ya utalii ni majipu tu
 
Na nyie ndege yenu ipeni jina la Mount Kenya basi. Vinginevyo mlima Kilimanjaro ubadilisheni jina uitwe MLIMA TANZANIA. Kisha muone kama wataendelea kuunadi mlima TANZANIA upo kenya.
 
Back
Top Bottom