Huu upendeleo kwa polisi si sawa!

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Sisi sote ni watumishi wa serikali ,pale Raisi anaposema yuko bize kuendeleza miradi mikubwa hivyo hawezi kuongeza mishahara hana pesa, Je hizo pesa anazowaongeza polisi kinyemela zinatoka wapi ? Polisi wanapewa laki 3 inaitwa *Package* au * Posho ya Vinywaji* . hii si sawa aise
 
Ngja waje
 
Awa ni vijana wake Ukuona juzi anawatumikisha anavyotaka yeye sio sheria inavyotaka
 
Kichefuchefu ni dalili za mimba.

Sasa unauliza maji ziwani????

He is no longer UCHWARA
 
"Vyombo vya ulinzi lazima vipendelewe" Waziri wa sheria Mh Kabudi.
 
Acheni waongezewe wana muokoa juu ya mange kimambi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…