Huu unaitwa uzembe

Ni sawa na kuhairisha kwenda kupima ugonjwa kisha upate tiba unasubiri uzidiwe ndo ufanye hivyo
 
Inategemea na situations... muda mwingine ni uzembe, mfano mwalimu anafundisha afu mtu haandiki.... Sema some stuffs ni muhimu kukariri kuupasha ubongo kdg, kanamba kadogo tu kaandikwe, akili inazoea
 
Daaah ilishanicost mara nyingi hiyo ......I hope ntaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…