Huu unafiki wa CCM mpaka lini?

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Hali tukijua kabisa mchawi ni nani hata tusiokua magamba wala vibaraka wao, JK, EL, na Nape wanataka mpaka watanzania wachoke na watoke mitaani kuwawinda? Hebu tazama mchezo wa kinafiki walioufanya juzi dodoma, ni kuzungukana mwanzo mwisho, hakuna asiyejua nini cha kufanya ila wameishia kupakana wanja na lips shiners na majibu mepesi kwa maswali magumu.

Wote ni Magamba kiasi kwamba hakuna wa kumgusa mwingine, msekwa nae hovyooo. Tz bila nguvu ya uma haya magamba yamekuwa ukoko tuyabandue yatatumaliza.
 
Habari za Sambaru bwana Msambaru. hao ndio magamba mkuu, hwafai kwa lolote.
 
Back
Top Bottom