Huu umagharibi una mashiko ?

Japo huko magharibi umeona watu kadhaa sidhani kuita hii kuwa ni culture ya kimagharibi ni sahihi kwa silimia kubwa. Tabia hii ipo mashariki kaskazini magharibi na kusini kwa watu wa aina fulani tu, wengine tunashangaa japo tunaishi eneo moja. Mfano mie nina dada Tz anetolewa out na shemeji yake mara kwa mara, ni watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…