Huu ulinzi wa Trump akiwa Jerusalem

Majukumu makubwa ya Secret service ni kuhakikisha Rais na familia yake wanakuwa safe kwa gharama yeyote kitu pekee ambacho Secret Service would not protect Trump from the press, but they will protect Trump from assassins with guns, not with assassins with pencils & pen
 
Marekani kwenye swala la ulinzi hakuna mbadala ...
sijui kuamini maombi ...sijui kuamini dereva ...sijui kuamini gari...
wao ni mwendo wa kazi tu... hawa wanume hawataki mbwembwe kabisa.
ukijichanganya ni gusa unate.

Hapa akiwa Saud Arabia


 
Hii hapa ni ratiba yake ya misele yote atayopiga huko mashariki ya kati.


Hapa ni mkuu Trump akiwa pande za Jerusalem
ule mji wewe unaouna kwenye maandiko ...basi ndio huko
aliko kwa sasa mkuu DONALD Trump

 

Attachments

  • upload_2017-5-22_16-48-34.jpeg
    27 KB · Views: 72
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…