Habari za jioni ,katika miaka yooote iliopita kwa mtazamo wangu huu ndio mwaka ambao matatizo ya kiutawala kila mtu anayashudia mwenyewe hamna haja ya kuhadithiwa kwahyo ilikuwa rahisi sana kwa upinzani kujiimarisha kupitia mapungufu yaliyopo
Lakusikitisha kuwa hiki ndio kipindi ambacho upinzani unaonekana kudorora mnoo ,hakuna mipango thabiti ya kuchukua dola,kila leo nguvu za upinzani zinazidi kupungua matatizo vyamani yamekuwa mengi mno
2005 kikwete alishinda kwa almost 80% 2010 akapoteza zaidi ya 13%
2015 magu ameshinda kwa asilimia 60 (sikumbuki vizur) lakini kipindi hichi kulikuwa na uwezekano wa kupunguza zaidi ya 15% na..kupelekea kupata arnd 40 smthng
Ila kwa upepo wakisiasa hizo hesabu sijui upinzani nauona upo icu labda km utafufuka 2019